Listen to Chini Ya Maji (feat. Kamlesh) by M O G

Chini Ya Maji (feat. Kamlesh)

M O G

African

690 Shazams

Music Video

MOG ft Kamlesh - Chini Ya Maji (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
M O G
M O G
Performer
COMPOSITION & LYRICS
M O G
M O G
Songwriter

Lyrics

Wako mpenzi unavyo mwonyesha pendo Anataka umwonyeshe rafiki zako Simfiche simpende kimoyomoyo Muonyeshe siwe siri kwa wenzako Na hivyo ndivyo Mungu atakavyo(hao) Ila sivyo wafanyavyo Hao hao wanadai kwamba wanampenda(hao) Hao hao wanadai hawatamtenga Hao hao wadai kwamba wanampenda Hao hao wanadai hawatamtenga Wakristu chini ya maji... toka toka chini ya maji Usiwe chini ya maji ...mpaka lini chini ya maji Speech inasema niko chini ya mwamba Matendo chini ya maji na mwamba Ofcourse tunajua gani louder Lakini ukweli tunaupaka powder Tunapofagia faith yetu chini ya carpet Thamani ya Christ tunauza black-market Wanadai wanarep the king Kumbe wana R.A.P.E the king Suluhisho twendeni all out Kile Mola anawispher tunaishout We are going in ka Paulo na Sila Healing the law ka daughter wa Jairus Hao hao wanadai kwamba wanampenda Hao hao wanadai hawatamtenga Hao hao wanadai kwamba wanampenda Hao hao wanadai hawatamtenga Wakristu chini ya maji ...toka toka chini ya maji Usiwe chini ya maji mpaka lini ya maji Utasema unapenda vipi Bwana jirani yako analala njaa Utasema unapenda vipi Yesu biblia unaficha Atleast ukipata kidogo... gawia mwenzako kidogo Wakilisha uwokovu wako Na hivyo ndivyo unajivunia Na hivyo ndivyo Mungu atakavyo Ila sivyo wafanyavyo Hao hao wanadai kwamba wanampenda Hao hao wanadai hawatamtenga Hao hao wanadai kwamba wanampenda Hao hao wanadai hawatamtenga Wakristu chini ya maji... toka toka chini ya maji Usiwe chini ya maji... mpaka lini chini ya maji Wakristu chini ya maji... toka toka chini ya maji Usiwe chini ya maji... mpaka lini chini ya maji Hao hao wanadai... wanadai Hao hao wanadai... wanadai Hao hao wanadai... wanadai Hao hao wanadai ...wanadai Toka... chini ya maji Toka toka ...chini ya maji Toka... chini ya maji Toka toka... chini ya maji Toka toka...(chini ya maji) Toka toka...(chini ya maji) Toka toka...(chini ya maji) Toka toka...(chini ya maji) Toka toka...(chini ya maji) Toka toka...(chini ya maji) Toka toka ...(chini ya maji) Toka toka...(chini ya maji) End
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out