Lyrics

Kamata dame Kamata dame Kamata dame Kamata dame Kamata dame Kamata dame Kamata dame Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Clubu imeshona vichakari Mamanzi wakatika vihatari Machali wasorora vihangari Vihangari hangari hang-hangari Eh! dada niambie jina lako Nimenoki hizo njaro zako Naomba nafasi wakati wako Tukatike nawe pekeyako Mabeste wako wakule vako Chali yako akule vako Akileta diambo tumfanye majambos Afanywe mambo afanywe mambo Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Mkono zangu zinaniwasha nashindwa tashika manzi mgani hapa ndani Nikiona huyu namtaka Nikiangalia huyu wa kwanza namwacha Leo wako wengi kushinda machali kwa hivyo lazima nitoke na ka wa nne Huku nikiwadanganya hakuna yule nampenda kushinda mwengine Nipelekeni basi kwa dance floor nikazitoke Na leo utakatika sana kwa hivyo eka phone yako poa isipotee Chupa ifunike vizuri mtu asiikojolee Haiya! Na hii club ni ajab mpaka dj yukona wake Bar tender nae ampotea kitu ka two hours sijui ameenda wapi Labda pia ye yuko mahali ana Kamata dame Kamata dame Kamata dame Kamata dame Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Chali yangu bana si ukona mtoto wako usiangalie wangu hivyo Hapa ni noma ukikaa mbaya unaeza rushwa kwa hivyo mshughulikie vilivyo Ka ni bia anataka mnunulie Ka ni tot mbili anataka mchukulie Haja gani kubania ganji Na mkirudi kejani atakupatia bila maswali Vako yoyote mtajaribu ata ikue ngumu design gani We mfrahishe kesho akuringie kwa beste zake Na yule msuper zaidi usimweke mchinjie kuipande Na hii pande ingine tia bidii asahau chali yake Ukifanya hivyo utaona kila siku vile utakua U-na Kamata dame Geuza dame Kamata dame Geuza dame Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Kila kila mtu na wake Na kama ahana shuari zake Nipe nipe mkono tuende danse Sista usinihandehande Handehande handehande Handehande handehande Handehande handehande Sista usinihandehande Handehande handehande Handehande handehande Handehande handehande Sista usinihandehande Sista usinihande Sista usinihande Sista usinihandehande Sista usinihande
Writer(s): Paul Julius Nunda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out