Listen to Pamoja (feat. Fundi Samweli) by Marlaw

Pamoja (feat. Fundi Samweli)

Marlaw

African

67 Shazams

Lyrics

Si We Mwenyeweee... Pamojaaa ndo Jibuuu. Marlaw (Niachee) Fundi Samweli (Niachee) Jahman records (Niachee) Pamojaaaa... Eeeh Peke yakoo, au Kuwa nayeee Kutomwoona,, au kuwa na Kiu nae Lakiini Upuuz,, ni bora upweeeke Haaa,,, Pakiwapo na Game nae, Utashindana au kuwa team nae Sitaaki,, Nenda uniachee Mwenyewee Pamooja,, ipo Baina Yetuu, Kubali kuipokea na Tuijueee Bora Pekee Bora pekee Bora Pekee Yangu na Mwenyewee Toofautisha,, hivi sawaa,, kuwa Mpwekee au Pamojaaa? Bora Pekee Bora pekee Bora Pekee Yangu na Mwenyewee Baadae utakuja uijue maana ya kuwa, Pamoja haukamiliki mwenyewee Aaaah Peke yakoo una Hasiraa Nakufata inavyokutuma Lakini badoo nawazaaa Aaah,, peke yakoo una gizaaa Hauko kwenye Taa walipo wenzioo Kama una jibuuu, nipatieee Pamojaa ipo baina yetuu,,, Ni bora kuipokea na Utaijuaaa Bora Pekee (Hapanaa) Bora pekee (Pamojaa) Bora Pekee Yangu na Mwenyewee Toofautisha,, hivi sawaa(Sitaki niachee) Kuwa Mpwekee(Nononoo) au Pamojaaa?(Mi Peke yanguu) Bora Pekee (Hapanaa) Bora pekee (Pamojaa) Bora Pekee Yangu na Mwenyewee Baadae utakuja uijue maana ya kuwa(sitaki niachwe), Pamoja(nononoo) haukamiliki mwenyewee (mi peke yanguu) Bora Pekee (Hapanaa) Bora pekee (Pamojaa) Bora Pekee Yangu na Mwenyewee Toofautisha,, hivi sawaa(Sitaki niachee) Kuwa Mpwekee(Nononoo) au Pamojaaa?(Mi Peke yanguu) Bora Pekee (Hapanaa) Bora pekee (Pamojaa) Bora Pekee Yangu na Mwenyewee Baadae utakuja uijue maana ya kuwa(sitaki niachwe), Pamoja(nononoo) haukamiliki mwenyewee (mi peke yanguu) Pamooja Pamooja (End)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out