Listen to Hewala (feat. Christian Bella) by Linex

Hewala (feat. Christian Bella)

Linex

African

2,506 Shazams

Lyrics

Kila nikiyatafakari mapenzi najiona kama nina hatia Niko kifungoni na machoni haunioni Kila nikiyatafakari mapenzi najiona kama nina hatia Niko kifungoni na machoni haunioni Labda niliumbwa niwe bachelor Nisiwe na mpenzi mpaka kwa hela Labda niliumbwa niwe bachelor Nisiwe na mpenzi mpaka kwa hela Aaah aah Naweza kuigiza nakupenda Nikakufanya kiini macho Ukaamini nakupenda Kwa mwingine siwezi kwenda Naweza kuigiza ukarimu na upole Mbele ya macho ya watu Ukaamini nakupenda Kwa mwingine siwezi kwenda Nawo menya kalima mutima uhundi kumaso Huwezi jua kilicho ndani ya mtu kwa macho Unapuyanga puyanga (Mama eeeh) Sema uko yanga au uko simba (ooooh) Japo ningepata hata chembe ya uzito wa haradali moyoni mwako Mimi ningesema Hewala hewala hewalaaaa Unapuyanga puyanga (Mama eeeh) Sema uko yanga au uko simba (ooooh) Japo ningepata hata chembe ya uzito wa haradali moyoni mwako Mimi ningesema Hewala hewala hewalaaaa Mama eeeh Motema na ngai Mama eeeh Maya baya zela ngaiiii Nooo nooo nooo nooo oooh Jasiri haachi asili kweli uliteka akili yangu Matusi yako ya nguoni thamani yangu huoni Mpenzi kumbuka mutu muoga Kusimulia matukio ya mutu (Jasiri) mala kofunda yangu ya mamaaa (Jasiri) oyo salikala kokiko kosa la kii (Jasiri) nakokoma chepa ya papa (Jasiri) baye boi wazala ki wangai Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga (Mama eeeh) Sema uko yanga au uko simba (ooooh) Japo ningepata hata chembe ya uzito wa haradali moyoni mwako Mimi ningesema Hewala hewala hewalaaaa Unapuyanga puyanga (Mama eeeh) Sema uko yanga au uko simba (ooooh) Japo ningepata hata chembe ya uzito wa haradali moyoni mwako Mimi ningesema Hewala hewala hewalaaaa Ningesema Hewala hewalaaa Ningesema Hewala hewalaaa Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga Unapuyanga puyanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out