Lyrics

Nijifiche wapi? Jicho lako laniona Niende wapi, kuepuka roho wako? Usiku kwako ni kama mchana Ata giza haliwezi kunificha, ah-ah Eh, Mungu nichunguze ujue moyo wangu Nijaribu uyajuwe mawazo yangu yote Baba, aah Baba, aah Nijifiche wapi? Nilalapo uko nami Nitawaza nini? Wafahamu kila kitu Maharifa yako, kweli, ni ajabu Ulinijuwa kabla kuzaliwa, ah, eh Eh, Mungu nichunguze (yeah) ujue moyo wangu Nijaribu uyajue mawazo yangu yote Baba, aah (hm-hm) Baba (Baba) aah (oh) Eh, Mungu nichunguze ujue moyo wangu Nijaribu uyajue mawazo yangu yote Baba, aah Baba, aah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out