Music Video

AMINI -RADIO_(official audio)_www.wasaportz.blogspot.com
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Amini
Amini
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Amini
Amini
Songwriter

Lyrics

Radio wapigie... Baby tu ni radio nataka kusema nawe Yaliyo ndani ya moyo bora nishee nawe Baby tu ni radio nataka kusema nawe Yaliyo ndani ya moyo bora nishee nawe Roho yangu eeee roho yangu ee Nafsi yangu eee nafsi yooo Ujinga wangu usikupe upweke Acha nipande ili kesho tuvune Hofu ondoa kwa Mungu tushasainiwa Mamia kwa mamia nao hutuombea Najua unaumia ni muda hujaniona Punguza hasira na wivu ongeza kwa wema Sauti ushaijua au frequency zinasumbua? Yobanjo anajua Moyoni ulivyoenea Baby tu ni radio nataka kusema nawe Yaliyo ndani ya moyo bora nishee nawe Baby tu ni radio nataka kusema nawe Yaliyo ndani ya moyo bora nishee nawe Roho yangu eeee Kusema nawee Nafsi yangu eee Naomba uileeee Niazime sikio lako Nitauguza moyo wako Kuyafata maandiko ww tumeharibu nia zao Mimi nasulubiwa kwa kosa nisolijua Wanayoniombea mengine yanakataliwa Najua unatumia ni muda hujaniona Punguza hasira na wivu ongeza kwa wema Sauti ushaijua au frequency zinasumbua? Na Mkubwa Fera anajua Moyoni ulivyo wowoo Baby tu ni radio nataka kusema nawe Yaliyo ndani ya moyo bora nishee nawe Baby tu ni radio nataka kusema nawe Yaliyo ndani ya moyo bora nishee nawe Roho yangu eeee Kusema naweee Nafsi yangu eee Naomba uileee Kusema na weweeeee. Naomba unileeeee... Kusema na weweeee...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out