Lyrics

naomba unisaidie kushare naomba unisaidie kushare naomba unisaidie kushare touch touch nisaidie kushare naomba unisaidie kushare hiyo ndo game ya sasa game ya insta gram za ma facebook pia na twitter best wright in ryhmes more taking pictures fani ndo game watu wanoyoifanya hivi sasa game ya advote and caption kwenye mitandao promo mwezi mzima song wanaiachia mwezi ujao mwezi mzima wanaomba niwasaidie kushare baba lao mpaka naona noma wasione nawaletea madharau na ukizingatia kwamba sharing is caring if post imetulia haitaji kuomba me nita share wengine wana feli wanaomba niwasaidie kushare bila hata salam really? watu wanataka wasikilize track kwa redio tunashare tu ma piqs kumbe track yenyewe sio bora waliomba niwasaidie kupost matukio naletewa tu video wanaomba bofya link kwenye bio moe samahani brother naomba unisaidie kushare naomba unisaidie kushare samahani dada naomba nisaidie kushare nisaidie kushare naomba unisaidie kushare samahani brother naomba nisaidie kushare naomba unisaidie kushare samahani dada naomba unisaidie kushare nisaidie kushare naomba unisaidie kushare samahani gani nimekukwaza baba lake ila ukweli ukubalike mimi ni analogue sio social network hivi ni instagram ndo imefanya muwike mambo ya photoshoot i am not used to its such a new thing ila inahusu plus TV many viewers kwenye you tube many followers on ig ndo utusu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out