Music Video

Wambea (feat. Yamoto Band)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Christian Bella
Performer
Mkubwa Na Wanawe
Mkubwa Na Wanawe
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Christian Bella
Songwriter

Lyrics

Ale wambea wambea wote Posa hakuna (posesanga) Wala longo hakuna (posese kisanga) Bella posena hakuna (posesanga) Wala longo hakuna (posese kisanga) Nala ng'ombe sasa hivi sili bata Nikichoka kulala nahitaji kupakata Wacha wapambe maneno wanoropoka eh Wakimaliza kunena wataanza kukatika Tena Mungu mkubwa mama, mchana, usiku tunaonana Hata kwenye kiza plate number wanaisoma Mungu mkubwa mama, mchana, usiku tunaonana Hata kwenye kiza plate number wanaisoma Wanapiga piga stori kuhusu mimi na wewe Chumvi zikiisha wanakuja watugongee Mahaba ee, mahaba ning'ate Mahaba ee, nizike kabisa ili nipotee Na kila sababu ya kulinga na penzi lako, honey Nawapa makavu wenye chuki na pendo letu kwani Nazunguka nikirudi nasikia yamejaa kibao Maneno ya kipuuzi watajaza na midumu kibao Ya ndani ya kwetu we na mi baby wangu eh Wakose jawabu wenye chuki na pendo letu woh Wanaleta umbea, maneno ya kipuuzi oh Wanaleta umbea, lolo, lolo, lolo, loo Mchawi binadamu, paka anatumwa tu elewa baby Maneno ni haramu, wanataka kugombanisha mi na wewe Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo) Wapambe (usiwape uchochoro) Olala lalila (semeni mulale tukutane tomorrow) Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow) Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo) Wapambe (usiwape uchochoro) Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow) Ni upendo wa dhati unanisumbua Kukupata bahati nataka tulia Kukuacha sitaki hata kusikia Roho tu, yangu roho mama nitaja jutia Aah mi jogoo nataka koo, popote ulipo Nitakuwepo popote uendapo Mmh naiseti seti, naiseti Mipango bado Naiseti seti, ah naiseti Ah, ah, ah, tufanye yetu Maneno yangekuwa yanatoboa mama ningeshageuka tenga Wacha waseme waseme sana ninachowaza kujenga Ale wambea wambea wote Posa hakuna (posesanga) Wala longo hakuna (posese kisanga) Mi nasema pose hakuna (posesanga) Ale longo hakuna (posese kisanga) Mama yee, mamaa yeee Inawauma na inawachoma sana Wanaona aibu, ona wote vichwa chini Kisa tunapendana mama mama mama Wewe ringa ringa mama, moyo ushasimama kwako Maneno si shida, umesikia nani kazikwa ah? Tena ringa mama, kwa kifo sisi tutawazika Wambea pose lakuna Mama iye iyee (posese kisanga) Sema mama ah (posesanga) Lobi longwe hakuna mama ah (posese kisanga) Wowowo, wowowo mama eh iye iye iye Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo) Wapambe (usiwape uchochoro) Olala lalila (semeni mulale tukutane tomorrow) Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow) Aa ni wewe (ndo rubani wa moyo) Wapambe (usiwape uchochoro) Mamama mama eh (semeni mulale tukutane tomorrow)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out