Lyrics

Nafsi inaniambia, niwe na moyo wa subira Tamaa sio tabia, niache pupa na hila Nafsi inaniambia niwe na moyo wa subira Tamaa siyo tabia niache pupa na hila Pendo lina hiyari mtu linapomfika Na kupenda maradhi mabaya yasotibika Nipende nione raha nisije kudhalilika Tena isiwe karaha nikaja kukashifika Natafuta penzi la kweli sipati wote naona wezi, Penzi langu mimi liko mashakani mimi nifanye ninii yeee Natafuta penzi la dhati sipati wote naona wezi, Penzi langu mimi liko mashakani mimi nifanye niniiiii Nanananini nanananananini nananananini nanananananini {×4} Najua maana ya penzi sababu nishaumia Nilipoachwa na mpenzi ambaye kiruka njia Mbaka naimba hizi tenzi fahamu hizi hisia Nataka uje unienzi nimechoka kulia Roho inataka faraja zenye utamu usio kifani Nitatimiza nyinqi haja nikiwa nawe mwandani Nipe juice ya mahaba yenye ladha kinywani Haba na haba si haba nipeleke nyumbani Natafuta penzi la kweli sipati wote naona wezi, Penzi langu mimi liko mashakani mimi nifanye nini yee Natafuta penzi la dhati sipati wote naona wezi, Penzi langu mimi liko mashakani mimi nifanye niniii Baby hahaaaa heeiyeee Baby hahaaaa heeiyeee Baby hahaaaa heeiyeee Baby hahaaaa heeiyeee {Eeiiyee} Nanananinii Nanananananini mi Nanananananini Nananananini mi {×4} ☆☆☆Starkid☆☆☆
Writer(s): Warren Harry Lendi Anthony, Menestrel Paul Gordon Mack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out