Lyrics

A man di galis, light up the herb light up the chalice REKLES Piga goti eh, Panua domo basi eh, Toka ghetto naeza chizi niku peleke hadi kile, Shigishigi de, Out of ten kula ten Wenye chuki nina wembe jo zaidi ya thao ntawape. Hapa mtaa si ndo uburn ka stima Hapana fuata msupa ka amekosa figure Na nikitupa one two asha jipa Yani a man a galis kiu Bombastika. REKLES X Everyone Ushai 'lamba lolo' Ushai ' Lamba lolo' SESSKA Piga goti eh, Panua domo basi eh, Toe lolo unaeza chizi upige nduru hadi kile Shika toto fiti inama aki Inama me na bend Aki back it ana sanif me na smama digi de Digidigi De, out of 10 kula 10 Penda venye una kaza ni ka una ngoja bet Mambo Ya selfie jo hapana katenje kabambe Odi waki anza dance katenje Katembe REKLES Na leo skanyagi base bana ju usha nmaliza Stima zima Mzinga umeze jo kwa giza Nipe nare chimney zaidi ya wiz khalifa Chain Ni ya mtu mbili staki wageni kabisa Hapa mtaa si ndo uburn Ka stima Hapana fuata msupa ka amekosa figure Na nikitupa one two Asha jipa Yani a man a galis kiu bombastika. Ushai 'lamba lolo' Ushai ' Lamba lolo' Ni swat na matire Tumekuja kuwasha tire Na atuna Adi nare Tunafah kula vibare Tusake ao madem ndo tuwa daredare Ni Swat na matire wanatuita odinaree Combi ni ya maodinaree Shoot tatu Ndio namba Npate bedroom na wangah Ii ni ya wale wajanja Nawapeleka Na rada Kula njuguu ongezah nguvu Na upewe rungu Upigeh nduruu mbaka Uite tu jina ya mungu Na mtukutu akona kutu apewe mutu Apige miti Mbaka awiti askie fity Skiza me nakuja dada me nalook alive... Everyday na boza bana me ndo king walai. Cheki mita dola bana me nachase mandai. Fala nigga bitch fala nigga bitch maasai. Me ndo king wa raga bana utanipata base. Me ndo peter lover bana utanihanda less. Kuja na madrugs fwatwa namalimo benz. . Everydai nacall msupa toa panti bend Piga goti eh, Panua domo basi eh, Toka ghetto naeza chizi niku peleke hadi kile, Shigishigi de, Out of ten kula ten Wenye chuki nina wembe jo zaidi ya Thao ntawape. REKLES X Everyone Ushai 'lamba lolo' Ushai ' Lamba lolo'
Writer(s): Boniface Mwangi, Leroy Miwa Ouma, Thomas Mcdonald Otieno, Peter Njau Kinya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out