Lyrics

"Nilikwelezeyaka oh mama, Fatou, wangu mama Nilikwelezeyaka oh mama, Fatou, wangu mama Mapenzie ya kwetu eeh haita tawi hata mama Mapenzie ya kwetu eeh haita tawi hata mama Tabia yako na yangu haisikilizani Tabia yako na yangu haisikilizani Unaona unaona sasa we mama Unaona unaona sasa we mama -- -- -- -- -- -- -- -- -- -- Unapenda kuvaa Mimi sina namna Fatou we Unapenda kula vizuri Mimi sina pesa oh Fatou we Nipe mali Sizoe Niuwe mutu Nipate dawa ya feza Niuwe mutu Watanifunga Niuwe mutu Thambi kwa Mungu Baba Kama hunipendi we Uende lote mama Kama hunipendi we Uende lote mama Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako Wende lote Zena wangu Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako Wende lote Zena wangu Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo (Wende lote Zena wangu!) -- -- -- -- -- -- -- -- -- -- Niibe mali Watanifunga Niuwe mutu Thambi kwa Mungu Baba Kama hunipendi we Uende lote mama Kama hunipendi we Uende lote mama Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako Wende lote Zena wangu Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo (Ohhh! Zena wangu! Wende lote Zena...) -- -- -- -- -- -- -- -- -- -- Niibe mali Watanifunga Niuwe mutu Thambi kwa Mungu Baba Kama hunipendi we Uende lote mama Kama hunipendi we Uende lote mama Niibe mali Watanifunga Niuwe mutu Thambi kwa Mungu Baba Kama hunipendi we Uende lote mama Kama hunipendi we Uende lote mama Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako, shauri yako eeh Shauri yako Wende lote Zena wangu Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo Siwezi kuua mutu mama Thambi kwa Mungu Baba yo -- -- -- -- -- -- -- -- -- -- Niibe mali ukitaka watanifunga mama niue mutu Thambi kwa Mungu Baba eh Kama hunipendi bibi yangu uende lote mama Kama hunipendi Uende lote mama Niibe mali ukitaka watanifunga mama niue mutu Thambi kwa Mungu eh Kama hunipendi bibi yangu uende kwenu mama Kama hunipendi uniwache yangu mama eeh Kama hunipendi Cherie Mama wende lote Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh Zena wangu Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Ohhh wende lote mama Zena wangu Mtoto wa kwetu"
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out