Top Songs By Don Santo
Credits
PERFORMING ARTISTS
Don Santo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Don Santo
Songwriter
Lyrics
Bora mimi najua, ewe Mola.
Moyo wangu umeshakubali
Siwezi lolote
Like nothing,
You are always amazing and winning
Kwa maisha waeza pata penzi tamu au chungu kama shubiri
Katika hulka za maisha waeza dhani umepata kumbe umefeli
Hakunauonalojema...
Kiwa Nawe...
I will always count my blessings
Ni weweeeeeeeeh ...
Milelee eh eeeh...
Mu muoyo kwanje,
Shindaleka
Amakesi ka buonia bwo
Kwamba hakuna mwengine utapenda kwa kweli Ila mimi
Kwako nitatuliza vyema...
Kiwa Nawe...
I will always count my blessings
Ni weweeeeeeeeh ...
Milelee eh eeeh...
Last time, kuna venye nilikosa
Na pia nika-run away
This time, nitatulia tu Nyasacha
Kwa vile nime-learn your way
Unanipa sababu kabambe kukupa sifa,
Sifa yako, siwezi ng'ang'ania
Kiwa nawe...
I will always count my blessings
Ni weweeeeeeeeh ...
Milelee eh eeeh...
Writer(s): Don Santo
Lyrics powered by www.musixmatch.com