Lyrics

Melody Nimezikutanisha; Nobody Can ever tisha sisi; Narudi uwanjani nakuta vijana wameluze malingala; Wengine nao wanatisha ma og na kumbe ni ushamba; Vipi humo humo Wasafi wako wapi si wale watafuta Kiki? Badili mtazamo Rudisha muziki uwache vituko vya abunwasi Walisababisha mambo Twawapa onyo; Wakabingirisha tone Naja na bonge; Hatuwaoni; Wamezama nini? Hatuwaoni; Wamezama nini? Wako wapi! Aah One of a kind Da people whose loving haiwezi retire; Na mioyo yao Imejengwa na material designer Wengine nao wabandikwa majina kwa chezo la kitanda; Urembo wa kizazi kipya kuuza maradhi kwa vitanda; Wafalme wa kweli wawapi ama wana, tafuta kiki? Regesha heshima kwa muziki jamaa, tuwache chuki Walisababisha mambo Twawapa onyo; Wakabingirisha tone Naja na bonge; Hatuwaoni; Wamezama nini? Hatuwaoni; Wamezama nini? Wako wapi! Aah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out