Lyrics

Haha sio mapenzi ni juju Sio mapenzi ni juju Haya sio mapenzi ni juju(Juju) Angekuwa wimbo DJ angeurudia Kila mmoja angecheza Utamani kuimba na kuitikia Kama kinywaji unaongeza Rangi yake mavazi na shepu Katikati ya mfupi na mrefu Mi nadhania Mungu aliangalia akaumba mwanamke apendezeshe dunia Ukisikia,Sauti ya kukaa kichwani Unavutia, malaika wa kupaa angani Amazing, Mwanamke wa kumweka ndani Mwanamke wa kuspend money Ale ale ale ale Angekuwa wimbo Dj angeurudia Ale ale ale ale Na kila mmoja angecheza Ale ale ale ale Mr Dj angeurudia Ale ale ale ale Ale ale ale ale Angekuwa wimbo Dj angeurudia Ale ale ale ale Na kila mmoja angecheza Ale ale ale ale Mr Dj angeurudia Ale ale ale ale Pita pita kwenye mitaa yao Pita pita kwenye mitandao Pozi picha na mambo kibao Maisha yao tunasema nao Mwanamke anafanya unachange Hakuna binga wa kwenye mapenzi Kuna wakati najibia Asione kama namwangalia Ni kama kajumba anavutia Anapita kwenye njia(She a danger girl) Mada nimezamia Mi mwenyewe baharia Ale ale ale ale Angekuwa wimbo Dj angeurudia Ale ale ale ale Na kila mmoja angecheza Ale ale ale ale Mr Dj angeurudia Ale ale ale ale Ale ale ale ale Angekuwa wimbo Dj angeurudia Ale ale ale ale Na kila mmoja angecheza Ale ale ale ale Mr Dj angeurudia Ale Ale ale ale Oya eeh yeah eh yeah eh... Eeh hanimudu nakunywa sumu Umenirudisha shule vidudu Umenifunga mdomo ni bubu Nasema sio mapenzi ni juju, juju Bang! Haya sio mapenzi ni juju Sio mapenzi ni juju Haya sio mapenzi ni Juju (Juju)
Writer(s): Darassa Darassa Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out