Lyrics

Mo-ko Hello (eeh) habari gani? Hello oh ooh, unaitwa nani? Hello, uko kizani? Hello, una tatizo gani? Basi we nieleze Walipokaza nilegeze You're so beautiful baby Hauendani na mawazo mama (aah) Huwezi kushindana na moyo wako Usijiumize aah, uh Mimi sio mbaya wako Nisikilize, ah oh Bado yupo yupo kwanza (mmh) Bado yupo yupo sana (eeh eh) Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Kushindana na moyo wake Bado yupo yupo kwanza (no, no) Bado yupo yupo sana (eh, yeah) Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Anataka awe peke yake Bado, ah ah nah nah Hana ulinzi wa moyo tena (aah) Wake uaminifu umekufa mazima (aah) Mapenzi yamefanya asile Mapenzi yamefanya asilale Chochote nachomwambia bure Anaona nampigia kelele Ila ati anashukuru Mungu Alipofika panatosha aah Hata na mzigo mzito wa mapenzi Ameutua amepumzika Yaani hataki tena Bado mapema Hataki tena Vurugu za mapenzi zimemchosha Huwezi kushindana na moyo wako Usijiumize aah, uh Mimi sio mbaya wako Nisikilize (eh ooh) Bado yupo yupo kwanza (mmh) Bado yupo yupo sana (eeh) Bado yupo yupo kwanza (eeh) Bado yupo yupo sana Bado kushindana na moyo wake Bado yupo yupo sana Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Anataka awe peke yake Peke yake, peke yake, peke yake, peke yake eeh
Writer(s): Juma Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out