Listen to Kibindoni by Jux

Kibindoni

Jux

R&B/Soul

5,620 Shazams

Lyrics

Kwenye love niko fofofo Umenidatisha wewe mtoto Napiga mbizi maji ya ugoko Baridi unanipa joto Oooh baby don't let me go, don't let me go Aiii najua dhamani yako Just let me know, just let me know Mimi sitaki ubaki peke yako mama Aaah aah aah... Sitaki wewe kuumia Aaah aah aah... Ado ado mama ado ado Aaah aah aah... Sitaki wewe kuumia Aaah aah aah... Eeeh Kasura kako kanaumiza roho Mama mama mama I've never seen before Mama mama mama Kasura kako kanaumiza roho Mama mama mama I've never seen before Mama mama mama Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Yaani kama taa mama Wewe umenizimaga Ila, na watu wanashangaa Kitu gani mi nakupaga Na mizigo yote nimeshaitua Nimefika mwisho wa reli Kigoma Uzuri wako wote wanajua Mtoto umenyooka kinoma Aaah aah aah... Haa wabishe wakatai Aaah aah aah... Hayani mi nyanya nyanya Aaah aah aah... Sijiwezi mama sijiwezi Aaah aah aah... Kasura kako kanaumiza roho Mama mama mama I've never seen before Mama mama mama Kasura kako kanaumiza roho Mama mama mama I've never seen before Mama mama mama Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Juma Mussa Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out