Lyrics

Mmmmmh Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe Eh nimejaribu,kujikusanya Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine Eh nimejaribu,kujikusanya (nikusahau wewee)×4 Pengine nilikawia sana,kukupeleka likizo ikaleta matatizo Ulitamani sana,Maasai Mara Au pengine nilichelewa sana, usiku wa manane nilifika nimetoka mi kuimba juu niko biashara,silipwi mishahara Na ningependa nikuchukie mami lakini mi si kama wewe Ata kisasi nikulipize,lakini Mimi sio wewee Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe Eh nimejaribu,kujikusanya Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine Eh nimejaribu,kujikusanya (nikusahau wewee)×4 Pengine nilikupenda sana, ulipokosa nikakimya hadhi yangu kaishusha na nikakusamehe Au pengine niombe msamaha, sikutosha Mimi kwako ukatafuta wa kando bado nikakusamehe Na ningependa nikuchukie lakini mi si kama wewe Ningependa nikusengenye lakini mi si kama wewe Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe Eh nimejaribu,kujikusanya Ukaniacha mi na aibu,wengine wanicheke juu uko na mwingine Eh nimejaribu,kujikusanya (nikusahau wewee)×8
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out