Lyrics

Kweli umeninyoosha mwenzangu Nakuzifanya chujio mboni zangu Mikono juu nanyoosha ww si fungu langu Kwa glkugivisha ngoz ya kondoo kumbe chui Moyo niliweka bond rehani kudata na penz lako Kwa upendo wako sikuzan utaniacha na utaenda zako Kutwa nzima moyo wa sonona Kwenye kina cha mapenz nilizama sababu yako Aie moyo wangu Ie moyo wangu Aie kwa ulivyo vifanya mungu atanilipia Aie wapi kosa langu Ie mwenzangu Aie sishindan Bora namuachia Sasa nimekua kimya atakauli sina tena Ata mamy nyumban alijua chanda chema ndo we Japo kichwan sipo vizuri nachoshukuru naema Ila kidonda ulicho niachia bado na chechema Nilikupenda ukunipenda asanikiwa chumban nakiwaza aya Inaniuma nikiwaza sana nimekua wa mitungi kama konk fire Kutwa nzima moyo wa sonona Kwenye kina cha mapenz nilizama sababu yako Aie moyo wangu Ie moyo wangu Aie kwa ulivyo vifanya mungu atanilipia Aie wapi kosa langu Ie mwenzangu Aie sishindan Bora namuachia Sasa hivi naishi kwa amani SAWA Stress zimekwisha sio kama zaman AYAA Kwan kitu gani SAWA Niwengi waliopita uko zaman AYAA Bora niturie
Writer(s): Side Kichwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out