Lyrics

Oooh mama mama mama Ooh beiby yeah Umenichanjia damu, labda ni asho Mbona walokuacha nyuma watajilaumu Eh wanatujaza su, tutengane so Na moyo unanisukuma kukuacha ngumu Kama ungelikuwa salio Ningekujaza on my phone Upendo nijaze kwa kilo Nitosheke nawe my love Kama ungelikuwa salio Ningekujaza on my phone Ujihisi wa pekee darling oo Oooh ooh Nishazama mazima kwako beiby (Aah aah) Nakutwisha upendo na moyo beiby (Aah aah) Nishazama mazima kwako beiby (Aah aah) Nakutwisha upendo na moyo beiby (Aah aah) She is rocking my body na usiku silali She calls me and sugar, ananivuruga Akanishika kweli kweli, I just wanna marry marry her Kwake siwezi feli, ndo kwanza ninazidi kweli Kama ungelikuwa salio Ningekujaza on my phone Upendo nijaze kwa kilo Nitosheke nawe my love Kama ungelikuwa salio Ningekujaza on my phone Ujihisi wa pekee darling oo Oooh ooh Nishazama mazima kwako beiby (Aah aah) Nakutwisha upendo na moyo beiby (Aah aah) Nishazama mazima kwako beiby (Aah aah) Nakutwisha upendo na moyo beiby (Aah aah)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out