Lyrics

Iyeeee eh! Uuhhhh... uuhmmm Yeaaaaah The African Princess Penzi kina kirefu nimeamini Umenituliza Hakia Mungu siamini Yaweje we nwezangu na mimi Hautoniliza Kama samaki alotoka Baharini Maana mapenzi unayonipa Kwa mwingine sijaona Sijala nanenepa Walipochana umeshona hoooo Wanipa raha sana we dada Nje sitamani Penzi lako tam tam Wanipa raha sana we dada Nje sitamani Unavonipa mashamsham [HOOK] Eeh! Nimenasa na nimenasika (Sina unjanja) Na sipapariki papariki mi kwako nimefika (Sina unjanja) Mieeee eeeeeh... kwako (Sina unjanja) Mie eeeeh... (Sina unjanja) Hata na Mimi nitshatumbukia Sihitaji kwingine Nakuona king name malikia pengine Dezo dezo unanidekeza Kwanyimbo za pwani ukinichombeza Kitandani ndo umeniweza Nalala kama pono ukinibembeleza Baba ooh Baba eeh, Utaniuwa aah Baba ooh, Baba iyeeee Maana mapenzi unayonipa Kwa mwingine sijaona Sijala nanenepa Walipochana umeshona oooh Wanipa raha sana we Kaka Nje sitamani Penzi lako tam tam Wanipa raha sana we kaka Nje sitamani Unavonipa mashamsham Eeh! Nimenasa na nimenasika (Sina unjanja) Nasipapariki papariki mi kwako nimefika (Sina unjanja) Mieeee eeeeeh... kwako (Sina unjanja) Oh mieee eeeeh... kwako (Sina unjanja) Nasipapariki papariki mi kwako nimefika (Sina unjanja) Oh mieee eeeeh... (Sina unjanja) Mieee eeeeh Kwako (Sina unjanja) Umenishika umenishika umenikamata ooh (Sina unjanja) Hmmmm, Iyé
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out