Lyrics

Estukiz bebi Nainua mkono mama Moyo wangu mweupe Ishara ya mapenzi mama Too much money Mi amor mi amor Bebi sinzia kifuani fofo Tega leo zamu yako Naipani kamia yako show Hakuna kuomba poo Tunayofanya chumbani usiweke hadharani wakaona Kwako mimi abadani tena sishindani, nimekoma Usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndooo Mimi kwako kama mchungaji we ndo kondoo Nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha Kama mgonjwa napona Aiii mama najidekeza, najitamba kwako Nikikwona nahisi raha Kama mgonjwa napona Aiii mama najidekeza, najitamba kwako Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Nitazame bebi nishike shingoni Yako mipapaso maruhani Nikumbate unaponikisi mdomoni Nilichoonja kwako sikitemi Mie natamani leo mpaka kesho tusije gombanaa Toka zamani niko nawe, kufa kufaana Ooh bebi Usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndoo Mimi kwako kama mchungaji wewe ndo kondoo Nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha Kama mgonjwa napona Aiii mama najidekeza, najitamba kwako Nikikwona nahisi raha Ka mgonjwa napona Aiii mama najidekeza, najitamba kwako Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Mi amor. mi amor Nainua mkono mama Moyo wangu mweupe Ishara ya mapenzi mama Mi amir mi amor
Writer(s): Salim Kassim Maengo, Oscar John Lelo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out