Lyrics

Nakucheki ukitafuta, mapenzi ooh girl Kinywaji kwa barafu in a really cold world Tabasamu lake lanipa, uhai na kadhalika Umenipa wadhifa Viatu kuzisafisha Umetoka wapi na, unaenda wapi Umetoka wapi na, unaenda wapi Umetoka wapi na, unaenda wapi Umetoka wapi now, uh Tafadhali usidhani, kwamba nina nia fulani Tukakule biriyani, huko maskani na washikaji Watakulaki uh Kama malaika, we ni malaika Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa Nakucheki hapa mtaa
Writer(s): Kerby Imwana Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out