Lyrics

Oooh yeah yeah yeah yeah... Oooh yeah yeah yeah yeah... Ooh oooh ooh... We umenikaa, umenikaa kwa roho Nafsi mpaka akili yangu We dada umenibamba (Mmmh.mmh mmh) Oooh darling, Alafu tumetokaga mbali(mmmh) Sioni dalili ya kukuumiza ukalia Alafu darling, Mwenzako nakupenda kweli(mmmh) Tufike wawili, sitaki mwingine kwa safari Penzi letu lime takeover Nimekunywa nina hangover Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh) Penzi letu lime takeover Nimekunywa nina hangover Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh) Umenishika kichwa, umeninyonga Ila kelele lele, bwana kelele lele Kelele lele, bwana kelele lele Oooh kelele lele, bwana kelele lele Kelele lele, bwana kelele lele Wale walinidhulumu, Nikawapa waka wakaiba Ukaifuta na sumu Ukaijenga na huba. Baba baba niongezee Nipe vyote nikumbatee Na mahaba nipe yotee Wale wasinikamate(iyee) Penzi letu lime takeover Nimekunywa nina hangover Umegeuka gari umenigonga(uuuh...) Penzi letu lime takeover Nimekunywa nina hangover Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh) Umenishika kichwa, umeninyonga Ila kelele lele, maneno ya kando kando Bwana kelele lele, hayanaga mipango Kelele lele, yatakwisha mama Kelele lele,(iye iye iye) Oooh kelele lele, maneno ya kando kando Bwana kelele lele, hawanaga mipango Kelele lele, yatakwisha baba Kelele lele,(iye iye iye) Maneno ya kando kando Hayanaga mipango Yatakwisha mama (iye iye iye)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out