Lyrics

Jamani wenye nguvu waseme Nini maana neema ya bwana Bado ipo watoke watangaze Habari maana bwana Yu mlangoni Hakika hawatakawia dhambini Tena walioonya na kubadilika Watazame mbinguni watainuka Waone Bwana wa mbinguni Waseme Mioyoni mwao Huyu ni bwana yesu Solo Neema wokovu ni Bure Kwa Njia ya Imani katika uhai Kutokana na nafsi Wala Matendo yetu twahesabiwa Haki Bure Kwa neema yake Kwa njia Imani Ilio katika Kristo yesu Mpatanishi wetu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out