Lyrics

Wakawaka youre african beauty Rangi tako yapendeza unavutia Show me what youre mama give you up Wewe ni zawadi ya pekee kwangu Siwezi kukuacha uondoke kwangu Tazama tabasamu lako lavutia Kila upitapo lawama si jali nakupenda
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out