Lyrics

Niache nifanye kusudi Ikibidi nifanye kufuru Wanitangaze hata sana Kwani mi ninavyompenda mwingine hakuna Kanifunga gamba cha chini cha sunna Kaniganda ganda baridi hakuna Mtundu wa kitanda ah Na lake jaramba ah Mi nasema simwachi Nakaba mpaka penati Kwa utamu wa nanasi Naufyonza mpaka basi Mi nasema simwachi Nakaba mpaka penati Kwa utamu wa nanasi Naufyonza mpaka basi Acha kusema waseme wala sijali Haya yake masebene mie sichezi mbali Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua rarua rarua Nimelamba utamu wa peremende Kanifunga kabisa na kwao twende Akanipe vya pwani; harua tende Kweli nimesema simwachi Nakaba mpaka penati Nitabeba hata pochi Nitalipie na cash Ninasifiwa kupetipeti sijasifiwa kuvaa Mi napuliza japo kuna net penzi lizidi kung'aa Na siwezi ya walimwengu maneno Naficha penzi wanang'ata bila meno Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua rarua rarua Mi nasema simwachi Nakaba mpaka penati Kwa utamu wa nanasi Naufyonza mpaka basi Mi nasema simwachi Nakaba mpaka penati Kwa utamu wa nanasi Naufyonza mpaka basi Acha kusema waseme wala sijali Haya yake masebene mie sichezi mbali Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua nawararua Nawararua rarua rarua rarua
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out