Lyrics

Abbah you make my day This is Barnaba boy classic (Abbah) Na... Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Sifa ya mwanaume kutunza Mwanamke ni wanja Mwanamke anapigwa na kanga kaka Msingi wa nyumba kiwanja Kuku hachinjwi na panga Mume hawezi kuwa danga dada Awe mnene mwembamba, mweusi inahusu Kimbau mbau ana shepu Hajui kubusu Vinate uvinyonge Hawatapiriki Hata ukiwa ukweli Wao wanafeki Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Eeh, dunia ya sasa ina mambo, ina mambo Kwako mpya kwa mwenzako kitambo, kitambo Nabadilisha kwa kutwa kama fulana Si wanaume, kumbe mpaka wasichana Kuna mambo, ebo! Awe mnene mwembamba, mweusi inahusu Kimbau mbau ana shepu Hajui kubusu Vinate uvinyonge Hawatapiriki Hata ukiwa ukweli Wao wanafeki Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa!
Writer(s): Elias Barnabas Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out