Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Chidi Beenz
Chidi Beenz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Chidi Beenz
Chidi Beenz
Songwriter
Rashidi Abdallah Makwiro
Rashidi Abdallah Makwiro
Songwriter

Lyrics

: Diamond Guantalamelaah! Ohh Guantalamelaah! Guantalamelaa: Chidi Mzee mzima, who got the key to my beamer! Leo mpaka mama pima amezima Kitu kikali, makali wembe vikali Kemikali mwaga tembe Bamzigi bamzigi yeah Chidi benz dully sykes la familia Mikono hewani watu yeah ah eh Baishoo cheza kibega wakatae I got ki'ching got kijuu got ki whoo haaa! Ka kininja naruka nakutua Ile michezo tunaitambua, ila tunauchubua Tunaendelea na mbele inakua We wacha kuzingua, tutakufunua Mamii achana nao, nanikamate nizungushe! Ahh leo yaani mpaka ususe, mpaka ususe Hainaga kulala Na tena yaani Mpaka kuche mpaka kuche Tandale na Ilala Ahh leo yaani mpaka ususe, mpaka ususe Hainaga kulala Na tena yaani Mpaka kuche mpaka kuche Tandale na Ilala.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out