Lyrics

Rj The Dj All day baby Hahaaa! Adala Mocco Kiraruraru Uso na haya Ukatulia Una kiwaruwaru kutanga tanga kiguu Na njia We jini kifaru vya watu unavamia Unacharuka charu kiso chako unanyapia Huchagui Mzima wa mdondo Sikinde ama msondo Kibua ana kamongo we twende, eyi Ati kimechina kina shombo Wa kinshasa kongo, Makabila Manifon'go kiweembe iyeee! Aaahh Kiforongo Kiforongo Rudi Kwenu Nchamba Wima Kiforongo Kiforongo Hili Jiji Linazizima Kiforongo Kiforongo Rudi Kwenu Nchamba Wima (ooh) Kiforongo Kiforongo Hili Jiji Linazizima Aahhh Aaahh Aaahh Aaahh! Kaweka la Kichina Yaani Nyuma Kama Lote, Yani Kama Loteee Kabadilishwa Jina Aitwa Sungura Tope, Sungura Topeee Nani amjui Kwa kuzoa Zoa, Kipenyembe Ye Hachagui Bomoa Bomoa, Kiberenge Kwa Mabachelor hupozwa kimoko, Moko Moko Tipa selera, Mchanga na Kokoto, Kokoto Goma la Masela tepe Boko Boko, Boko boko Ni kanga na Dera, mambo Foko foko, Foko Foko Aaahh Kiforongo Kiforongo Rudi Kwenu Nchamba Wima Kiforongo Kiforongo Hili Jiji Linazizima Kiforongo Kiforongo Rudi Kwenu Nchamba Wima (ooh) Kiforongo Kiforongo Hili Jiji Linazizima Aahhh Kapanda lifti Ya Gari la Pilipili babu eeh Imemuwashaa!! Siri Imevuja Kagonganisha Mabwana Huyu Kibwengo Anawavuruga Wameandanana wananzengo Kwa Kubadili Sampo Afanya Ushindani, Kala Hasara Iwe Dampo Ama Barabarani, kwa Daladala Akupa Utakacho Ata, Kwenye Majani, Kwenye Jalala Ulichonacho Kwake Sawa, ye hana kwara Aaahh Kiforongo Kiforongo Rudi Kwenu Nchamba Wima Kiforongo Kiforongo Hili Jiji Linazizima Kiforongo Kiforongo Rudi Kwenu Nchamba Wima Kiforongo Kiforongo Hili Jiji Linazizima Ayaa Msokote Msokote Mchomoe (Mwana Nyumbu Kalilia Usinga si Wake) Mkokote Mkokote Mbomoe (Mwana Nyumbu Kalilia Usinga si Wake) Aah Pembe hilo pembe hilo La Ng'ombe Hilo Aah Pembe hilo pembe hilo La Ng'ombe Hilo Kawamaliza Waganga (Pembe) Vibuki kutwa kupunga (la ng'ombe) Singeli mara charanga (pembe) Kimemponza kiranga (la ng'ombe) Anagombea mgomba (pembe) Na ndizi hajaipanda (la ng'ombe) Pashwara aso kibanda (pembe la ng'ombe) Rj The Dj All day baby KIBOKO YAO
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out