Lyrics

Hii siyo ndoto yangu Hii siyo ndoto yangu Hivi nilivyo siyo ndoto yangu Naenda kiwango kingine Hii siyo ndoto yangu Hii siyo ndoto yangu Hapa nilipo siyo ndoto yangu Naenda kiwango kingine Kuna mahali nimetoka mahali ninakwenda Hapa nipita tu Hii siyo ndoto yangu Hapa nilipo siyo ndoto yangu Naenda kiwango kingine Ndani yangu naona nafasi nyingine Mbele yangu naona kiwango cha juu Hali yangu naona kuinuliwa, Naenda kiwango kingine Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Utukufu uwe na utukufu Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Utukufu uwe na utukufu Kuitwa mwana biashara mdogo mdogo Hii siyo ndoto yangu Ndoto yangu ni kumiliki biashara kubwa kimataifa Naenda kiwango kingine Kuitwa mwimbaji mdogo mdogo Hii siyo ndoto yangu Ndoto yangu ni kuitwa muimbaji mkubwa ulimwengu Naenda kiwango kingine Kuitwa mfugaji mdogo mdogo Hii siyo ndoto yangu Ndoto yangu ni kumiliki mifugo wengi wasio na idadi Naenda kiwango kingine Kuitwa mkulima mdogo mdogo Hii siyo ndoto yangu Ndoto yangu ni kuwa mkulima mkubwa mkubwa Naenda kiwango kingine Kuitwa mchungaji mwenye kanisa dogo dogo Hii siyo ndoto yangu Ndoto yangu ni kumiliki kanisa yenye watu wengi Naenda kiwango kingine Kuna mahali nimetoka mahali ninakwenda Hapa nipita tu Naenda viwango vya juu Eeeh Mungu wangu nisaidie Naenda viwango vya juu kielimu Naenda viwango vya juu kiuchumu Naenda viwango vya juu kiuduma Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Utukufu kuwe na utukufu Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Naenda viwango vingine Utukufu kuwe na utukufu Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Ng'ambo yangu ya ahadi zangu Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Ng'ambo yangu ya ahadi zangu Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Ng'ambo yangu ya ahadi zangu Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Ng'ambo yangu ya ahadi zangu Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Ng'ambo yangu ya ahadi zangu Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Navuka naenda ng'ambo nyingine Ng'ambo yangu ya ahadi zangu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out