Listen to Zimbabwe by Roma

Zimbabwe

Roma

African

14,029 Shazams

Credits

PERFORMING ARTISTS
Roma
Roma
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdullah Ibrahim
Abdullah Ibrahim
Songwriter

Lyrics

Instrunmental Tongwe records Bin laden ( Oooooh) Geof master (ooooh) Wengi mlijiuliza walioniteka ni maaskari Mkanitafuta vituo vyote Central hadi Sitaki shari Wakasema Hawajui nilipo mama alienda hadi mortuary (dah!!) Ya Kaisari muachie Kaisari, Machozi yenu yatalipwa mi nafunga na kusali... ( Imba Roma imba, imba Roma imba, imba Roma imba) Mungu wa Paulo, Ndo Mungu ungu wa Daudi, Na ndo Mungu wa John mnaemuita Yohana wayahudi Mwanangu alimuuliza mama baba lini atarudi Na mke wangu aliwaliza Kuwashukuru sina budi Fahamu ya kuwa mi sio tu rappa, Mi ni baba wa familia Na watoto Mahitaji nawapa kama isemavyo biblia Kipi bora? Nife mseme nilikufa kiharakati? Siogopi kufa, ila nawaachaje wanaobaki? Je, nani kati yenu mwanangu atampa malezi? Wapi atapata mahitaji, wapi atapata mapenzi? Mama nae wapi atapata mahitaji na malezi? Na ripoti ya upelelezi vipi akiiteka mtekaji? Je kaburi langu mtalipalilia majani? Nimeumwa hamjakuja niona mnangoja mje msibani Nilipokuwepo sikuwa najua hii saa nne, hii saa nane Nilichohitaji nitoke mzima na ndugu zangu tuonane Nimechapwa mijeredi, Nimevunjwa bila huruma Asante mliopaza sauti nmeiona nguvu ya umma Siku tatu nimefungwa macho mikono Imefungwa nyuma (mikono Imefungwa nyuma) Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee. Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee. Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee. Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee. Imba Roma imbaaa, eeeh Roma, sema baba weeeh Nasimama na naunga hoja kwenye uchumi wa Viwanda Nanasi linaoza Msoga tikiti linaoza shamba Waloniteka hawakuja na Noah, Ni uvumi na visanga Ila kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba Weka Bunduki chini si tubishane kwa hoja Maana sote lengo letu kuijenga Tanzania moja Mi sikuona nyota kwa shoulder ila najua we Ni soldier Inshaallah, ulikuja mwenyewe au ulipewa order? Aminini siku hazigandi, We ni Yanga mi Simba Kuwa mpinzani sio dhambi Ipo siku mtawala atakua mpinzani Simba akichukia kombe sijui atapona nani Na kuna mbunge alisema eti nimemtukana mkuu Utahukumiwa na mkono wa Mungu Namshitakia alie juu Kwanza lini na kwann mi nimtukane mjomba Umepewa Gari ya wagonjwa mi tanga ananijengea bomba Mi mbarikiwa na Nikifa Kuume kwa baba ntaketi Na mtu wa watu that's why lilisimama bunge la Bajeti Kunijadili mtanzania kuwa makini pia Makinikia nayatungia Mapini pia Nilitabiri utaitwa raisi kipindi unaitwa waziri Japo Maisha sio rahisi ila pongezi unastahili Na waliosadiki Roma Ataonekana kabla ya Jumapili God bless imetimia injiri Niliyoitabiri Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee. Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee. Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee. Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee. IMBA ROMA. Eeeeeeh Roma, simama simama Oyoyoyo eeeeeh Roma, (Sema baba wee) Iyelele mama wee, wee nakwenda... Wee Zimbabwe Iyelele mama wee, mama wee Ooooh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out