Lyrics

Surprise. Wakiongea usijibu chochote wewe baki bubu, uko moyoni hawajui tu. Nafuraha imeleta amani kwenye maisha yangu Povu liwatoke wakaroge nitabaki na wee. Penzi koleza Baby koleza, hawatuoni wana makengeza, kengeza. Inabidi uniamini (aay) Kukuacha katu (katu) Sijui nini na nini (ayy) Hayo maneno ya watu (watu). Inabidi uniamini (ayy) Kukuacha katu (katu) Sijui nini na nini (ayy) Hayo maneno ya watu (watu). Lelele lele lee jimwa, jimwa, jimwage (lelele). Maneno maneno wakikuambia (niambie). Midomo midomo kazi yake kuongea (wapuuzie). Nitauboresha, boresha upendo. Nitauboresha miee. Penzi koleza Baby koleza, hawatuoni wana makengeza, kengeza. Inabidi uniamini (ayy) Kukuacha katu (katu) Sijui nini na nini (ayy) Hayo maneno ya watu (watu). Inabidi uniamini (ayy) Kukuacha katu (katu) Sijui nini na nini (ayy) Hayo maneno ya watu (watu). Lelele lele lee jimwa, jimwa, jimwage (lelele). Inabidi uniamini (ayy) Kukuacha katu (katu) Sijui nini na nini (ayy) Hayo maneno ya watu (watu). Inabidi uniamini (ayy) Kukuacha katu (katu) Sijui nini na nini (ayy) Hayo maneno ya watu (watu). Ayy, lelele lele lee jimwa, jimwa, jimwage (ayy), Lelele.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out