Music Video

Unco JingJong, Sui$ide - Unaningora (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
UNCO JING JONG
UNCO JING JONG
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
This Is Sui$de
This Is Sui$de
Producer
24k Visuals
24k Visuals
Producer

Lyrics

Unaningora Ukinibeba ndogo ni zogo Unaningora Ukinipiga monkey unabaki Unaningora Kuna wa kushandwa-kumadwa Wakiningora Kuna wa kupangwa, kugandwa na wa kuporwa... Wawawawawa unaningora wawawawawa Unaningora Wawawawawa Joh we unaningora Iki kinaningora na sipendi kungorwa Kuna ufala sipendi kaa za kula gode mbogi Heri nijisunde nikakule solo nyongi Kwanza na corona peleka uko udogi Hii chain haisongi... huonji na huonji ngo Enda uko ukakule manzi yako ongongo Tukifika apa tunapunguzanga mdomo Usitukule akili hatujakuja masomo Nyonyonyonyo nyokonyoko punguzanga utoto Tunang'orana ni kama unataka kula gwanda (Gwandaaa) Aka ni kama kanataka kugandwaa (Gandwaaa) Aiii!!! Si mnishike aka nitakamada (Madaaa) Ushai skia kunyamba kaa kwanza unaharaaa (Ayaaaaayaaahh) Unaningora Ukinibeba ndogo ni zogo Unaningora Ukinipiga monkey unabaki Unaningora Kuna wa kushandwa-kumadwa Wakiningora Kuna wa kupangwa, kugandwa na wa kuporwa... Wawawawawa unaningora wawawawawa Unaningora Wawawawawa Joh we unaningora Iki kinaningora na sipendi kungorwa Ju nakulanga magode nikiwa madudu Ivo ndo niligeuka kijana mtundu Nguvu ya kuvuruga watu na machungu Ndugu mi si wa kusamehe mi si mungu Ju moi alinyuria akaniachia rungu Nikimaliza kunyia ndo ntadeal na manugu Kuna vitu sipendi kaa tabia za upunju Kaa kumumunya njugu na kunyimana munju Ju nakungoraaa... what you gonna do now Ju nakungoraaa... what you gonna dooooooo Unaningora Ukinibeba ndogo ni zogo Unaningora Ukinipiga monkey unabaki Unaningora Kuna wa kushandwa-kumadwa Wakiningora Kuna wa kupangwa, kugandwa na wa kuporwa... Wawawawawa unaningora wawawawawa Unaningora Wawawawawa Joh we unaningora Iki kinaningora na sipendi kungorwa
Writer(s): Unco Jong Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out