Lyrics

Konde Boy Weeeeeh Huo ni ushamba huo ni, weeh, huo ni ushamba huo ni, weeh Huo ni ushamba huo ni, eeeh huo ni ushamba Pesa ya kulipa gesti unayo, eeeh Nyumbani familia inapiga miyayo, eeeh Mmh yanafurahisha ufanyayo, eeeh huo ni ushamba Inaboa kudadadeki, dereva wa Uber hataki ku-over take-i Eti kisa pesa haiongezeki, eeeh huo ni ushamba Yupo kitandani kajilegeza, eeh Mi nimeshapaka vya kuteleza, eeh Eti bebi leo simba wanacheza, eeeh huo ni ushamba Husband material kutwa unalike picha za makalio Vya wenzako usijipe matamanio, eeh huo ni ushamba Ashura wa mbagala huna pakula pakulala Comment-i ndefu picha za kajala huo tunaita, eeeh huo ni ushamba Huo ni ushamba huo ni, huo ni ushamba huo ni Huo ni ushamba huo ni, eeeh huo ni ushamba Mmmh malejendi si wamerudisha vita Wanahofia eti jeshi anawapita Bila sababu wananikunjia ndita, eeeh huo ni ushamba Limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba ze Likila demu lazima litangaze Huo tunaita, eeeh huo ni ushamba Hivi dunia ndo ipo kikomo eeh maana hadi waganga wanapiga promo Hadi insta eeh wana page za kujipigia domo, eeeh huo ni ushamba Amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti Mmh vipi akikupiga kibuti? Eeeh huo ni ushamba Aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara Eeeh huo ni ushamba Huo ni ushamba huo ni, huo ni ushamba huo ni Huo ni ushamba huo ni, eeeh huo ni ushamba Kaja na vumbi uso umefuba Anadai kapaka powder, eeh kaniomba nauli ya Uber Eeeh yule namuona kapanda boda, eeeh huo ni ushamba Vitu vingine haviji na ubongo, eeh, punguzeni sifa wana sio mchongo, eeh Demu humjui unampakia mkongoo, eeeh huoni ushamba Yeye ndo kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote Wakati wakulipa bili sina chochote, eeh huo ni ushamba Meno yote nje anachekelea ahsante baby nimepokea Hasa mbona haujatuma na yakutoleaa, eeeh huo ni ushamba Kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri Yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah, eeeh huoni ushambaa Tunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea mganga Unataka wote tuonekane wanga huo tunaita, eeeh huo ni ushamba Huo ni ushamba huo ni, huo ni ushamba huo ni Huo ni ushamba huo ni, eeeh huo ni ushamba Hehehehee hasa, kama-kama kama-kama tumekutana mchana unasema haujala Heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki weeh hehehe hahaha hahahaha Huo ni ushamba huo ni, huo ni ushamba huo ni Huo ni ushamba huo ni, huo ni ushamba They call me Konde Boy number one, jeshi
Writer(s): Harmonize Harmonize Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out