Lyrics

Do you like to dance (I do, you?) Mwanzo ulivyonikubali nikataka nikupe continent Nikupitishe machimbo wakuone ulivyo fimbo ooh Tena ulivyonikubali nikasema wewe nikupe benz iih Nikupitishe kwa ndimbo, huku niki kuimbia wimbo ooh We ni gold digger but i love your mind Napenda unavyo waza we Unanipukutisha the way you move your boody Hadi mama tunajikuta kwenye run way, hadi mama Tunajikuta kwenye balcon Hadi mama tunajikuta kwenye bangalow, hadi mama Tunajikuta kwenye bank eeh Hadi mama tunajikuta kwenye investiments, story of my life Msimulizi wewe ni we nakungoja am ready Baby am ready eeeh Am ready Angelina ujue mi nna uchizi now Angelina ujue mi nna uchizi noooow Sauti yako ikisikika mi nastuka Sauti yako ikisikika mi nastuka Angelina ujue mi nna uchizi now Angelina ujue mi nna uchizi noow Angelina uh uh uh uh uh uh Angelina uh uh uh uh uh uh Proffesor wa love mambo ya kupumzisha, napiga fix mbaya unaniacha najirusha Kuja mbili mbili (Eh) eka eka bidii (Eh) come dede uchuchumae kwa diriii Nna wachezaji wengi kwenye maji nimekutafuta wewe tu uuh Nimekosea sanitizer kama maji, wewe tu uuh Nimeanza na baby pana, naweka Dibala, African beuty, Dodo Kiba la Hadi mama tunajikuta kwenye run way, hadi mama Tunajikuta kwenye balcon Hadi mama tunajikuta kwenye bangalow, hadi mama Tunajikuta kwenye bank eeh Hadi mama tunajikuta kwenye investiments story of my life Msimulizi wewe ni we nakungoja am ready Baby am ready eeeh Angelina ujue mi nna uchizi now Angelina ujue mi nna uchizi noooow Sauti yako ikisikika mi nastuka Sauti yako ikisikika mi nastuka Angelina ujue mi nna uchizi now Angelina ujue mi nna uchizi noow Angelina uh uh uh uh uh uh Angelina uh uh uh uh uh uh
Writer(s): Abdul Mbwambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out