Lyrics

Unaringa na mume na mumeo Kati hakuposti (Pasua kichwa) Unaringa na Benz wakati una ploti (Pasua kichwa) Unang'ang'ana na mume Na mume hakutaki (Pasua kichwa) Unajigamba una mke Mke ana ving'asti (Pasua kichwa) Aah Dar es Salaam ni kubwa Watu wanaruka ukuta Wenye mahaba wanalia mapenzi yamewachachia Tunaringa tumepima Kama penzi tumekatia bima Ye mzizi mie shina Penzi letu hakuna kuzizima Baby mwambie baba Hata huna gari nimekupa na roho Kisha mwambie baba Mambo ya bingu tunang'oa kipa roma Tutiane stress (Pasua kichwa) Kila siku kesi (Pasua kichwa) Utanipa murder kesi wewe (Pasua kichwa) Hapana no no no (Pasua kichwa, kichwa, kichwa) Mara nikufumanie guesti (Pasua kichwa) Ukizidandiaga waleti (Pasua kichwa) Kila siku kesi no (Pasua kichwa) You need to leave me alone (Pasua kichwa, kichwa, kichwa) Shawty ooh, give me your break Kila siku unanipa mastress Mi bado mdogo za nini stress? Mitaani hauishi tetesi Ng'ang'ana mpira sima na mpira Wanashuti goal Mambo ya wawili tumwachie Dr mwaka Mchizi wa mambo Tutiane stress (Pasua kichwa) Kila siku kesi (Pasua kichwa) Utanipa murder kesi wewe (Pasua kichwa) Hapana no no no (Pasua kichwa, kichwa, kichwa) Mara nikufumanie guesti (Pasua kichwa) Ukizidandiaga waleti (Pasua kichwa) Kila siku kesi no (Pasua kichwa) You need to leave me alone (Pasua kichwa, kichwa, kichwa) (The Mix Killer)
Writer(s): Elias Barnabas Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out