Lyrics

Ni salama angamizo Licha nnamatatizo (S2keezy baby) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Eh wapo top ten (shusha shusha) Wapo on trend (shusha) Wapo top ten (shusha shusha) Wapo on trend (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Wanataka shindana na Simba (shusha shusha) Washindane na Dangote (shusha) Wakati bado makinda (shusha shusha) Mie maji wao tope (shusha) Waulize wamesikia (wapi) panya kula paka (wapi) Nasema wamesikia (wapi) kibogoyo akang'ata (wapi) Wambie chocho (hili chocho watu huwa hawapitagi) Ehh waambie chocho (sema fyoko tulianzishe vagi) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Eh wapo top ten (shusha shusha) Wapo on trend (shusha) Wapo top ten (shusha shusha) Wapo on trend (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Tumewapa nafasi kidogo wameanza kuleta dharau (shusha) Wameshika visenti kidogo wanakandia mpaka wadau (shusha) Wamejisahau (shusha) Wanaleta dharau (shusha) Napiga kolabo na Simba wewe kapige na nyau (shusha shusha) Nazidi kushusha mangoma mpaka waseme Baba ni noma Nabado ntawapa homa mpaka waseme tumeshakoma Maneno yanavyowachoma mpaka waseme rudi kigoma Na wameshameza ndoano mpaka wateme- (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Eh wapo top ten (shusha shusha) Wapo on trend (shusha) Wapo top ten (shusha shusha) Wapo on trend (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Nawashusha (shusha shusha) Nawashusha (shusha) Wanaporomoka (aii) mmoja mmoja chali (shusha shusha) Wanadondoka mmoja mmoja chali chini Wanaporomoka (shusha) mmoja mmoja chali Wanadondoka (shusha shusha) mmoja mmoja chali chini Chapa a chapa (chapa) Sasa chapa (chapa) Tia bakora (chapa) Hawana adabu (chapa) Chapa a chapa (chapa) Wanangu chapa (chapa) Tembeza mboko (chapa) Hawana adabu (chapa)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out