Music Video

NACHA - Mdahalo (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nacha
Nacha
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salum Othman Rashid
Salum Othman Rashid
Songwriter

Lyrics

Killi. Beaaa... Mmh! Hebu ngojeni kwanza acheni kucheza bao Tufanye huu mdahalo kuhusu mambo kibao Hivi kwani ndo ujanja siasa za majitaka Kwenye majukwaa Kuvua na nguo na kupaka Au ndo dalili ya ukomavu wa siasa Aaah! aah! Nchi huru hii unafanya bwana unachotaka Enhe Juma unasemaje eti una nini hapa? Hizo ni njaa na ni tamaa za paka Ajali barabarani chanzo chake ni nini? Uzembe wa madereva na vitu vingi kichwani Kwani matrafiki hawapo? mmh! Rushwa ni kufuru Ah mbona siwaelewi? kwani haipo Takukuru? Mfumo wa vyama vingi aloleta Nyerere Mnauona unafanya kazi? Mmmh ni paka kengele Hivi tutafuzu kombe la dunia kisha tunywe mvinyo? Nyie Wabongo msahau hata kocha awe Mourinho Kwa hio na mimi nikitaka madaraka naweza pata?(Eeeh... eeeh) Alafu nikipata nitanata na simu nitakata(Aaah weee) Mnaona vipi tukiishi bila udini matabaka(Eeeh... eeeh) Hivi ni ungwana nikioa alafu kipigo talaka?(Aah aah weee) Serikali ni watu na watu ndio sisi Kwa hio nautamani urafiki wa raia na polisi Mimba za utotoni? Nini unahisi? Tatizo na watoto wanaponzwa sana na chipsi Kama ni kweli basi hali inatisha Nyie mnauona muungano wa zenji na Tanganyika? Eeeh mbona bado upo hauoni Yanga Africa Mo bacca Fei Makame bado anatisha Hivi nilikuwa na wazo utani sesha swedi Madada poa waruhusiwe ila walipe kodi Alafu pesa zikasaidie wamama wodi Hahaha hizo akili za ki odi Mmmh dah, aisee wewe kwa hiyo walimu na madoctor Nani mshahara waongezewe? Mmmh bora walimu ila madoctor nao wenyewe Aaah! hii Nchi ishauzwa nipeni mimi nikalewe Kwa hio na mimi nikitaka madaraka naweza pata?(Eeeh... eeeh) Alafu nikipata nitanata na simu nitakata(Aaah weee) Mnaona vipi tukiishi bila udini matabaka(Eeeh... eeeh) Hivi ni ungwana nikioa alafu kipigo talaka?(Aah aah weee) Ni sawa Simba na Yanga vilabu kongwe vya soccer Kumilikiwa na mtu mmoja kama Mo anavyotaka Itapandisha soccer au mfumo itaporomosha Hio ni vita kubwa kuna watu riziki watakosa muraa Kwa mfano sasa, shule za kata ni ongezeko ufaulu Ama bado zero NECTA Faulu kivipi? Wanafunzi mia sita Alafu walimu watano acheni kujifurahisha Haya si walimtukana mzee juzi walilia ka watoto Hee si walimtukana mamba kabla hawajavuka mto? Tena na hili linanichanganya kuhusu sisi vijana Maambukizi ya zinaa na mipira mingi sana Tunazidi kuungua sababu ya uzembe sana Aah soksi za nini na tumezaliwa peku Kwaiyo Mchungaji kula kondoo hio ni sawa bila wasi Hata Fisi akikosa nyama huwanga anakula nyasi Kwa hio na mimi nikitaka madaraka naweza pata?(Eeeh... eeeh) Alafu nikipata nitanata na simu nitakata(Aaah weee) Mnaona vipi tukiishi bila udini matabaka(Eeeh... eeeh) Hivi ni ungwana nikioa alafu kipigo talaka?(Aah aah weee) Nyasubi nda Nyambano beiby Wamemchokoza bea...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out