Lyrics

Eeh bwaana Umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu Zoooteee Umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaanguu Umeelewa na njia zangu zootee Eeh bwaana Umenichunguza na kunijua Wewe wajua kuketi kwangu Na kuondoka kwaanguu umelifahamu wazo langu Tokea mbaali umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaangu umeelewa na njia zanguu Zoooteee Umepepeta kwenda kwangu Na kulala kwaanguu Umeelewa na njia zangu zootee
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out