Lyrics

Wooo ooh Ayayayaya yayaya yaa yaya Alalalalala lalala laa lala Ayayayaya yayaya yaa yaya iih Bend over, bend over, bend over, (bend over) Bend over (bend over, bend over) Bend over, bend over, bend over (bend over) Bend over (bend over, Bend over) Machete! When we show up, when we show up Machete! Tukitokea, wamepotea Machete! Nikutakata, kukatakata Machete! When we show up (aah go) Leta watoto wanyonye pinya kolada Watu wameminya ma prada gucci matara Wasee walihonga vitara kisha vipara Vyuma moto, nyuli nyuli sio viparara Hapa kunukia uturi usilete harahara Mezani soma ishara kwa manyapara Tz tu Kampala tukutane huko, nikuparadiso Bend over, Bend over, Bend over, Bend over Bend over, Bend over, Bend over Bend over, Bend over, Bend over, Bend over Bend over, Bend over, Bend over Machete! When we show up, when we show up Machete! Tukitokea, wamepotea Machete! Nikutakata, kukatakata Machete! When we show up (yeah go) Waswahili wananiitaga mi bwashee Mashabiki wanasemaga kiwashee Baby baby wananipaga nipashee Kimasai wananiitaga lalashee Baby wako hajanipa wiki Sana sana kanipa tiki Mi navina na nata mziki Na nina pochi nang'ata dhiki Pombe maji inabidi tuogelee Pisi kali inabidi isogelee Wenye chuki inabidi waniongelee Mi siachiki inabidi tuendelee Bend over, bend over, bend over, (end over) Bend over, (bend over, bend over) Bend over, bend over, bend over, (bend over) Bend over, (bend over, bend over) Machete! When we show up, when we show up Machete! Tukitokea, wamepotea Machete! Nikutakata, kukatakata Machete! When we show up (eeeh eiy) Ukiona tunavuna ujue ndo tulio lima Na shamba liko mjini hapa mzizima Washamba hapa mjini ndipo wanapozima Mangoima hawanisomi hizi tungo wima Tuko ndima, mangirimaa Am chilling in the counter With the chuggah queen Mimi Mars A-city bars A-city kazi, A-city kazi Fyonza mabaki, funza mawaki Flow nina attack ki-iluminati Machete, Machete, machete (Machete) Mapimbi nakata machete (Machete) Wanafiki nakata waletee I say, Ambia ma waiter walete (woow) When we show up, up Machete! Tukitokea, wamepotea Mwambie akizingua tu na switch Mi na ndizi kisukari asali mbichi Askari wapo lakini hawazimi mziki Hatari hapo ni kwamba ma boss sisi Tembeza mwenge unawaka mpaka boko Na tukitokea ndo linapo panda joto Mboga zote mbuchi chini bakayoko (Weusi) Twazoa biashara sokomoko Kila mboga ni biashara, target ni Ankara Ambia hizo baby zitaloose Tukihama hapa ni muamala, show nitatawala Nanoa visu vikali toka juzi Baby kila mtu anatuangalia hadi najishtukia Usijali, uko na namba moko Tanzania Shingo mpira ya kifokorise topa miaka mia Kujiachia sijai kuachwa kumbatia Machete! When we show up, when we show up Machete! Tukitokea, wamepotea Machete! Nikutakata, kukatakata Machete
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out