Lyrics

Njaro zako, tayari nimekanywa Penzi lako, naambiwa ni balaa Nami bado, siwezi kukuwacha Nifanyeje, na roho ishapenda Oh, nakuwaza Oh, nakutaka No, but my baby, you are such a bad boy Oh, nakuwaza Oh, nakutaka No, but my baby, you are such a bad boy Najua unaipenda, unaitaka pia Naeza tell na design unaiangalia (hahaha) Sio makosa yako I am falling for the bad boy Najua unaipenda, unaitaka Naeza tell na design unaiangalia Si makosa yangu I am falling for the bad boy Sura yako, nabaki fikirani Busu lako, siwezi kuilenga Na mi bado, siuoni ubaya wako Nifanyeje, na roho ishapenda Oh, nakuwaza Oh, nakutaka No, but my baby, you are such a bad boy Oh, nakuwaza Oh, nakutaka No, but my baby, you are such a bad boy Najua unaipenda, unaitaka pia Naeza tell na design unaiangalia (hahaha) Sio makosa yako I am falling for the bad boy Najua unaipenda, unaitaka Naeza tell na design unaiangalia Si makosa yangu I am falling for the bad boy (Wooo, Wooo) (Haha) (Sio makosa yako) (Okay, yeah) First of all ni obvious Nyashinski juu ya mic unajua vocals ni oh so glorious Na ni popular (yeah) Lakini juu ya meza kuna issue moja biggy ka notorious Dame mzuri amenoki chali ni jangili Lakini chali haezi kubali juu ya nini Ohh... Akikubali watasema amekuwa soft Ka sponge Haiezekani So ana-do nini Anafikiria kwanza Situation tricky nani Mtaani nina respect fiti mami Nikikubali wataniuliza vipi wadhii Oh, nakuwaza Oh, nakutaka No, but my baby, you are such a bad boy Oh, nakuwaza Oh, nakutaka No, but my baby, you are such a bad boy Najua unaipenda, unaitaka pia Naeza tell na design unaiangalia (hahaha) Sio makosa yako I am falling for the bad boy Najua unaipenda, unaitaka Naeza tell na design unaiangalia Si makosa yangu I am falling for the bad boy Najua unaipenda, unaitaka pia Naeza tell na design unaiangalia (hahaha) Sio makosa yako I am falling for the bad boy Najua unaipenda, unaitaka Naeza tell na design unaiangalia Si makosa yangu I am falling for the bad boy
Writer(s): Abdul Wahab Lafta, J. Frequency Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out