Lyrics

(BigBeatsAfriq) R.O.G, tumeekelea kazi Tel Aviv, tumeekelea kazi Umoinner, tumeekelea kazi Forward, FT, tumeekelea kazi Aldana, tumeekelea kazi 58, tumeekelea kazi Embassava, tumeekelea kazi Mwamba, tumeekelea kazi Obamana, tumeekelea kazi Eastern Bypass, tumeekelea kazi City Hoppa, tumeekelea kazi Ongataline, tumeekelea kazi Ngumo, tumeekelea kazi Nagasaki, tumeekelea kazi Paradiso, tumeekelea kazi 45, tumeekelea kazi Uspendi na slayer ndio juu spending ndio dawa Mchizi wangu ali-notice kumpa penzi ni blunder Hata siku hizi cirrhosis ni ugonjwa ya kawa I'm feeling like Moses juu ya kukatanga waba Heri unipige maukapi tuki-beef, usijitie kitanzi Last mbleina kuni-cross alipass away vi-funny Alijifanya kubonga shit chini ya mti, alijiona ye ni nyani Ali-die tu kwa scene, hapakuwa story za hospitali I hope hamna teresh nasi Juu si tumetoka East na ni kungori, hivyo ndio nakueleza mdhii Ni ngumu hadi kuteleza huskii 'Cause it's either upige tero uomoke upige Vanessa Mdee Kitu mi hupenda sisi ni venye hujuanga ku-exploit So ma-ninja, design ya Dora, tukuwe explorers Tuna-die once ku-grow mistari Scar aliniachia keki jo Dosh Mambleina wako mneti na wanajifanya hawajai explore Huku ukicheki fiti tunapoishi Unapata kumejaa mavi kwa orosho Hivo hivo, hatujali, tuna-make it Kila terrain, yaani kama Moroko Mchizi alihepeshwa kwa mob, sema kugoroka Aliruka down ground floor kutoka kwa ghorofa Huku ni kutulia upige biz zako safi mwanangu, uking'ang'ana na pang'ang'a utasota Day and night, time yoyote kazi As in, sisi tuko macho, hapa hapana ng'orota Real badman hadi ma mgaldes wamenoki Mi hukalia mbao hadi judges wame-notice Hizi ni places maajabu Ati niaje uko hai na ulifunguliwa kitabu? Ndole City, tumeekelea kazi Rong Rende, Wakadinali, tume-do? (Tume-do? Tume-do?) Huruma, tumeekelea kazi Korogocho, tumeekelea kazi Dandora, tumeekelea kazi Umoroto, tumeekelea kazi Kosovo, tumeekelea kazi Oyole, tumeekelea kazi Donholm, tumeekelea kazi Buruburu, tumeekelea kazi Githare, tumeekelea kazi K-South, tumeekelea kazi Ololoo, tumeekelea kazi Mukuru, tumeekelea kazi Paipu, tumeekelea kazi Greenie, tumeekelea kazi Tumeekelea kazi Cabanas, tumeekelea kazi Mtaitana tukiekelea kazi Hapo mchana tuliwekelea kazi Kwa hiyo chama tuliekelea ganji Walishika Josie, waliwekelea cousin Ay, zingine tunawachia Yesu Hii ni- hii ni- hii ni kitu tumepandia mbegu Haki ya nani, si ni funny, hizo tabia zenyu? Hamtukanji lakini si mna ganji ya venue, goddamn Rende ikiwa Rong, you better run Shout out to my niggas in the pen Mama said I should be on their midst Walisema hatutazoza game Now we hit the money and the fame Ay, naeza do wrong but na-do right School ya hard knocks, mi ni alumni Tuna-roll by when the mood right Si na new ndai, pale Ruiru ndani Walidhani mi fala, nipate ganji, nimpeleke bar halafu nibaki hoi Naona wakiri, they're scheming, haki mama, they're planning to kill your baby boy Rende ni Rong, you already know it I got boys in your hood and you barely know it See, we made all these niggas who were making noise See, we keep it stee ka ndani Mwiki-Ruai So style lazima iwe safi, G Sijabanjanga na makafiri Hawa ma-motherfuckers wanakuwanga drama Wanapanga njama niwe maiti, zi Nita-do kitu kwanza, wapi V Wanaleta issue, hatutaki Na ikifanyika East, inabaki East Si unajuanga fala hubonga mavi R.O.G, tumeekelea kazi Tel Aviv, tumeekelea kazi Umoinner, tumeekelea kazi Forward, FT, tumeekelea kazi Aldana, tumeekelea kazi 58, tumeekelea kazi Embassava, tumeekelea kazi Mwamba, tumeekelea kazi Obamana, tumeekelea kazi Eastern Bypass, tumeekelea kazi City Hoppa, tumeekelea kazi Ongataline, tumeekelea kazi Ngumo, tumeekelea kazi Nagasaki, tumeekelea kazi Paradiso, tumeekelea kazi 45, tumeekelea kazi Huruma, tumeekelea kazi Korogocho, tumeekelea kazi Dandora, tumeekelea kazi Umoroto, tumeekelea kazi Kosovo, tumeekelea kazi Oyole, tumeekelea kazi Donholm, tumeekelea kazi Buruburu, tumeekelea kazi Githare, tumeekelea kazi K-South, tumeekelea kazi Ololoo, tumeekelea kazi Mukuru, tumeekelea kazi Paipu, tumeekelea kazi Greenie, tumeekelea kazi Tumeekelea kazi Cabanas, tumeekelea kazi
Writer(s): Churchill Oganga Mandela, David John Munga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out