Lyrics

So first time kukuona ukipita mtaani Ningependa kufaham unaitwa naanii yeah Pia na hamu kabisa ufike nyumbanii eee Uwafahamu masista na mamy eee Je uko ready Ready ehe Nauliza uko ready Babe ehe Kunipa namba unasita Kwanin nini unakwepa Mana Ni lisaa linasita tunazozanaa ah(hatujapata) Hivi kwanin unakwepa Kuniamini unaogopa Niamini japo me msela ila na real love kwako Usipagawe na uselaaa me na real love Me mselaaa ila na real love Usipagawe na usela uselaaah me na real love Me mselaaa ila na real love kwako eee Niliamini msela ila sio msela mavi hata me Mwenyewe kukuoa ninahadhi nielewee ee ninakupendaa Uwanawake sikuhizi mnapagawa na mavazi madinga Mixer vinywaji mlewe eee ndo mnahisi mnapendwaga lalah Kunipa namba unasita Kwanini nini unakwepa Ni lisaa nilasita tunazozana (Hatujapata) Hivi kwanini unakwepa Kuniamini unaogopa Niamini japo me msela ila na real love kwakoo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out