Lyrics

Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia (Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia) Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia (Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia) Wallah twasikitika, Muhammad kututoka Jamii ya dhalilika, اخيل الصباح Wallah twasikitika, Muhammad kututoka Jamii ya dhalilika, اخيل الصباح Sisi sote tul'o hapa, twatarajia baraka Kwanini waja twasita kumswalia? Twamsifu msifika, Mohamad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia Hushangazwa na uuma, baadhi kutusakama Eti tunalolifanya tumelizua Hushangazwa na uuma, baadhi kutusakama Eti tunalolifanya tumelizua An'okadiria Allah, malipo twatarajia Tusiache mswalia, tumonadhiria Mwisho nauhasa umma, tusimame sote hima Aswaliwe wetu bwana Muhammad Ya Mwisho nauhasa umma, tusimame sote hima Aswaliwe wetu bwana Muhammad Ya Hidaya twaendelea, kumsifu ye Nabiya Ah bila yeye tungekuwa gizani piya Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia (Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia) Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia (Twamsifu msifika, Muhammad haso shaka Maana ametakasika, twamswalia) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Sifa zake nyingi sana (hadii bana) Mtume wetu heshima (hadii bana) Twapambika sifa njema (hadii bana) Kwa raha bila karaha (habibi) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Twamsifia hashima (hadii bana) Kipanzi chake karima (hadii bana) Kwa sifa kila aina (hadii bana) Twajivunia mtumwa mwema (leo) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) 'Sikitika (hadii bana) Mohamad kututoka (hadii bana) Jamii ya dhalilika (hadii bana) Umma unateketa ah Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Sisi sote tulio hapa (hadii bana) Twaomba maji ya baraka (hadii bana) Kwanini waja twasita (hadii bana) Kwa huzuni analia habibi Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Hushangazwa na uumwa (hadii bana) Na radhi hutusakama (hadii bana) Lolote tunalolifanya (hadii bana) Tumelizua yatima jamani Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Anakadiria Allah (hadii bana) Malipo twatarajia (hadii bana) Tusiache mswalia (hadii bana) Tuwe muhashimia habibi Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Hidaya twaendea (hadii bana) Kumsifu Mnabiya (hadii bana) Bila yeye tungekuwa (hadii bana) Giza tungejionea habibi Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Leo tuna mswalia (mtumwa mwema) Muhammad n'nabiya (mtumwa mwema) Masha Allah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out