Music Video

Sija ona kama wewe by Patrick Kubuya
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Patrick Kubuya
Patrick Kubuya
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Patrick Kubuya
Patrick Kubuya
Songwriter

Lyrics

Yahweh Hallelujah Sijaona kama wewe muumbaji wa mbingu na nchi Roho yangu yakusifu ewe mfalme Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa Nani atayesimama mbele zako Sijaona kama wewe muumbaji wa mbingu na nchi Roho yangu yakusifu ewe mfalme Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa Nani atayesimama mbele zako Sijaona kama wewe, muumbaji wa mbingu na nchi Roho yangu yakusifu ewe mfalme Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa Nani atayesimama mbele zako Ummoja tangu mwanzo unapita na mawazo Maarifa yako bwana ni makubwa Kimbilio la vizazi sijaona kama wewe Nguvu zako bwana wangu zinatisha Ummoja tangu mwanzo unapita na mawazo Maarifa yako bwana ni makubwa Kimbilio la vizazi sijaona kama wewe Nguvu zako bwana wangu zinatisha Bahari yakutii milima yatetemeka Kwa sauti yako tu muumbaji wa vyote Nini bwana wangu iliyo ngumu kwako Yote unaweza muumbaji wa vyote Bahari yakutii milima yatetemeka Kwa sauti yako tu muumbaji wa vyote Nini bwana wangu iliyo ngumu kwako Yote unaweza muumbaji wa vyote Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe tangu mwanzo Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe tangu mwanzo Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe tangu mwanzo Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe tangu mwanzo Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe tangu mwanzo Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe tangu mwanzo Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana Ni wewe tangu mwanzo Ni weweee Uinuliwe Yesu Uinuliwe Yesu Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out