Lyrics

Cheza kama wewe Cheza kama wewe Cheza kama wewe Cheza kama we Cheza kama wewe Eeeh aaah Niko na kitu kwa mbosho nkutolee form Kuja na mavitu vidosho macorazon Choche chipo mwitu na posho ina choma pork Alafu ntakuja na chumvi na nyongi ya juzi Leo utatoa moshi ka trolley ya msee wa smokiiiiiieeee Nitacheza kama mimi Alafu nkupe thru pass cheza kama lewandorskiiiiii Ivo ndo si hucheza mjini Cheza kama wewe Cheza kama wewe Cheza kama we Eeeeh Cheza kama wewe Cheza kama wewe Kwanza vile umejibebanga Mi hudai mi hudai Mi hupenda napendaaaaaah Dai Mi hupenda nape Figa fire yaani dangerous Mi hudai mi hudai Mi hupenda napendaaah Mi hupenda Penda na pendaa Uhuru gardens tuko jaba Wengine wako miti Zetu ni ma German Zenyu piki piki na Leo tunaenda Canaan Beba ziggi mingi Ka kuna ma madam Beba Cd mingi Ni mimi apo backleft Paparazzi Wanaifanya ngumu kufanya usherati Nakumbuka kabla nifuge manati Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya versace Leo niko out nimekuja kutesa Kesho siko job Nikulala fo fo fo Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza Ustuone hivi hivi Tumekuja na pesaaa Lewa Pewa Eeeh lewa Eeeeh Aaaah We lewa Ouuh pewa Eeeh lewa Ouuuuuu Meehn uko fiti maam Nakucheki piga luku safi Gucci gang Wee cheza chini maaam Unavyosonga furahisha tu mjulubeng We mi si kama wao Nakuzungusha na mastingo zangu kama thao Na ma neighbour wakituskia watasema Pekejeng jeng twende pekejeng Msupa we jilete nikupeleke na rieng Nikubeng beng Twende pekejeng Kwa kazi niko rada ata ka sina maweng Pekejeng jeng twende pekejeng Msupa we jilete nikupeleke na rieng Nikubeng beng Twende pekejeng Kwa kazi niko rada ata ka sina maweng Skosi uradi nipate nimechill na kabinti Fom ni mingi hadi anashangaa na sisi Kila siku ya wiki Get tipsy Na nikiget dooh nablow it all on the Whisky Jack DJ mi na blame it on the Henny We started out slow nilikuwa je mlevi Isshh to crazy kukumbuka siwezi Nilijiget home juu ya bed nimebleki Dame mmoja wawili Na ma Tusker ma Pilsner Mara ya kwanza ya pili Si ma soo ni ma ngiri Dame mmoja wawili Na ma Tusker ma Pilsner Eeeeeeh Nairobiiii Ogopa Hii Nairobi Ushaniwai Ushaniwai baby girl nakudai Aki walae uko fine sio lie Si unkaribie tu niseme nawe Ukuwe mine Wameze wembe Sijui kwani umeniwekea tembe Na kila siku kama sukukma na sembe Na wanapiga domo nilimea pembe Wacha wabonge wakibaki nyuma tuko lembe Eeeeh Tuko lembe Wacha wa Wacha wabonge wakibaki nyuma tuko lembe Aaaah Eeeehh Achana nao baby wacha waseme Tuko wawili baby mimi na wewe Tusiachane baby mpaka milele Mpaka milele Achana nao baby wacha wasemeeeeh Wacha wasemeeeeeeh Milele Milelee Ndovu Kuu
Writer(s): Christopher Thande Githara Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out