Lyrics

Funga beat Iwachome Ju ni hit Atawajaribu videvu atuwezi beat Ati chuchuuu Na kama kawa siunajua Angry panda under mickey Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Jiachilie chezesha kiuno mbeiby Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Jiachilie aaah Nifurahie aaah Tetemesha iyo mwili nika umepigwa na na naradi Na vile uko there rada ni safi Chokesha misuli tutatuliza na na naratish Alfu ndio uzidundishe na kasi Simama inama touch your toes Penduka kidogo ukibend and pause Napenda magoshodo waunichezeshea twisti Apo manyu nasimama nasimamisha twisti Wekelea mguu Juu ya kiti (Apo juu) Jiachilie ndo zitingike vifiti Leo ni Leo na magoshodo waringi Asanta kwanza vile wamekuja kwa wingi Mwendo wako unaezafanya mbaka nishikwe na kichaa Na vile unazungusha Nakwambia niko idhaa Watoto wameweza watamu kama supu ya pweza Tukimaliza wataeleza Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah jiachilie chezesha kiuno mbeiby Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Jiachilie aah Nifurahie aah Chuu!! Akikubali iyo ndo size mi napenda (Size yangu) Akiitisha atakaa ni dadako nakemba Ka kamechapa sichapi naachia ma champe Wabaki wakijuanga apa akunanga kompe Mi ndio kusema itabidi umeniaminia Izo pembe kaa magugu ntazipalilia Manyanga itakubeba lakini ntakupandilia Nikubwa lakini itabidi umevumilia Nataka marijuana na gari inaeza beba Rihana Nataka nizitoke ju bado ni talanta Kati kati kanungo for me aah Sema sema Say no more baby (Say no more baby) Si ndo ma king kwa ma bit Feel this Chuu chuuu Tuko ndani tuko nditni Shukanayo teremsha mi nakuamini Mafans one love Kwa kutu amini Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Jiachilie chezesha kiuno mbeiby Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Nikatikie kanungo baby aah Jiachilie aah Nifurahie aah
Writer(s): Eugene Oyoo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out