Lyrics

Mmmmh I wish ningemwona Magufuli, nipige magoti Nimpongeze hadharani Yaani Rais wa muungano wa Jamhuri, mchapakazi hachoki Anaye pinga nani? Mmmh Ametuvusha vikwazo Wewe nami, ona nchi anavyoijenga Flyover sa tunazo, daraja kigamboni Airport imesha jengwa Acha nikupongeze kwa Air Tanzania (iyelewe) Zidi baba tuongeze Airbus Bombardier (iyelewe) Standard gauge tuteleze, kusafiri unasinzia (iyelewe) Acheni tu niwaeleze, Magufuli papa nia (iyelewe) Oooh, dady Magufuli cheza nikuone (kwangwaru) Wasopenda wabane choo (kwangwaru) Magu muacheni (kwangwaru) Oooh, daddy Asa cheza nikuone (kwangwaru) Jembe toka chato (kwangwaru) Magufuli ndo Rais wa wanyonge (kwangwaru) Aga, mpole mtu wa dini Hajachoka, tunashukuru Amesamehe mara sabini Papi Kocha sa yuko huru Wa-Tanzania tupewe nini? Vilokufa yeye kavifufua Karudisha nidhamu serekalini Ukileta njanja anatumbua, eh Sekta ya madini, umeme, maji, kero zimepungua (asa wee) Elimu bure vijijini, watoto shule wanabukua (asa wee) Ifikapo elfu mbili na ishirini, kura yangu chukua (asa wee) Asa tufiche ya nini 'Magu' uongozi anaujua (asa wee) Dar es Salaam mwendo kasi, vituo vya afya kila kata (iyelewe) Machinga tunachapa kazi, tena huru bila shaka (iyelewe) Borigi utani ameongeza, uchumi uweze panda (iyelewe) Serekali Dodoma inapendeza, Tanzania ya viwanda (iyelewe) Oooh, dady Magufuli cheza nikuone (kwangwaru) Wasopenda wabane choo (kwangwaru) Magu muacheni (kwangwaru) Oooh, daddy Asa cheza nikuone (kwangwaru) Jembe toka chato (kwangwaru) Magufuli ndo Rais wa wanyonge (kwangwaru) Asa wote wa Tanzania, tusimame imara (imara, imara) Yaani wote Tanzania (imara, Tanzania tusonge mbele) Ah, John Pombe Magufuli, simama imara (imara, imara) Yaani wote tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele) Oooh, mama Samia Suluhu, basi simama imara (imara, imara) Kwa pamoja tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele) Baba Kassim Majaliwa, simama imara (imara, imara) Kwa pamoja tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele) Wasafi Records
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out