Music Video

Q Chilla X Harmonize - Nionyeshe (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Q Chilla
Q Chilla
Performer
Harmonize
Harmonize
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Bonga
Bonga
Producer

Lyrics

Oooh mapenzi Oooh,eeh mapenzi Meli ishaweka nanga Usiwape taabu waganga, Eti uniroge Ya kazi gani? Zinga kipande cha kanga Uje tulicheze vanga Kisha nikoge Unikande mabegani Mmmh I wish uone moyo wangu Ulivyojawa makovu Huenda utanionea huruma Nahisi we ndo dawa yangu Umeshushwa mwokovu nisikumbuke ya nyuma Hey Mwenzako nishapitia mikasa Drama kila wakati shahidi yangu mwenyezi Mmmh Hadi nikahisi nina nyota ya tasa Ama sina bahati Aah katika mapenzi Basi nionyeshe Nionyeshe! Unavyonipenda mwaya Nionyeshe! Unavyonipenda mwaya Nionyeshe! Mmh unavyonipenda mwaya Nionyeshe! Walonitenda mpaka waone haya Mmmh Jichunge na peji za udaku Yasemwayo ni ya uwongo, Akina Mange kimambi Ogopa na manyaku nyaku Mahodari waongo, Wasije kuweka kambi Nikipata tule wote Nikikosa utangoja, richwa tulale Wasikutishe chochote Waso isha vihoja vichwa kambale Nikianguka niokote Tusimame pamoja sare sare, Hadi tuzikwe sote Utoge ndonya ukongoje mmakonde chale Mmmh I wish uone moyo wangu Ulivyojawa makovu Huenda utanionea huruma Nahisi we ndo dawa yangu Umeshushwa mwokovu Nisikumbuke ya nyuma Basi nionyeshe Nionyeshe! Unavyonipenda mwaya Nionyeshe! Unavyonipenda mwaya Nionyeshe! Mmh unavyonipenda mwaya Nionyeshe! Walonitenda mpaka waone haya Oooh my God its Spencer
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out