Lyrics

Hujaacha tobo uliloniachia ni bonge la tundu Sina nyendo, mama kaninunia nahisi gundu Nakunywa gongo najisaidia nguoni aibu Uu walongo kitanda changu ndio chooni Wee ndio sababu, wewe sababu Butu mobimba nazo lela Naumia sana nimekuzoea Butu mobimba nazo lela, mama Naumia sana, nimekuzoea Mmh ndoto za ajabu Kichwani unakuja wewe, sura yako Nishasomewa vitabu bado vinasema wewe Nikifa maiti yako yeah Ah, aya yaya, aya yaya Na machozi hayataki kauka Ah, aya yaya, aya yaya Nafuta kushoto kulia yashuka Ah, aya yaya, aya yaya Na machozi hayataki kauka Aya yaya, aya yaya Utamu wa nanasi Ghafla huwa mchungu sana Ukinywa maji Baby wangu wasi-wasi, nani kakuficha mama? Rudi basi Ah Tajiri wa huzuni machozi kwangu bwelele Upepo wa firauni umemkumba ngedele Mfukoni mbuni vichenji-chenji njenjere Ah, namaliza sabuni mdomo koma kelele Butu mobimba nazo lela Naumia sana nimekuzoea Butu mobimba nazo lela, mama Naumia sana, nimekuzoea Mmh ndoto za ajabu Kichwani unakuja wewe, sura yako Nishasomewa vitabu Viote vinasema wewe, nikifa musiba wako (yeah-eh-eh) Ah, aya yaya, aya yaya Na machozi hayataki kauka Ah, aya yaya, aya yaya Nafuta kushoto kulia yashuka Ah, aya yaya, aya yaya Na machozi hayataki kauka Aya yaya, aya yaya Moyo una (malenge lenge) Moyo wangu eh (malenge lenge) Na hema kwa shida (malenge lenge) Biashara yangu ya mapenzi (malenge lenge) Ni hasara si faida (malenge lenge) Maazoea (malenge lenge) Nimekuzoea (malenge lenge) Ah-ah-ah (malenge lenge) Nimekuzoea
Writer(s): Siraju Amani Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out